Simple Discipleship Cards | Swahili

Je umewahi fikiri kuhusu uanafunzi maishani mwako?.Soma yote kuhusu uanafunzi 101 kwenye hizi kadi mbili.Tunakupa mawaidha moja kwa moja kuhusu uanafunzi na watu walio karibu nawe.Kadi hizi ndogo zina kila kitu unahitaji ili kuchukua hatua za kwanza katika maisha ya uanafunzi kwa njia bora zaidi.Unaweza pekua na kupakua nakala hii,ni rahisi kuchapisha mbele na nyuma kwa faili.

Description

Soma kuhusu uanafunzi 101.Kadi hizi ndogo zina taarifa yote kuhusu kile unahitaji kujua ukichukua hatua za kwanza katika maisha ya uanafunzi moja kwa moja kwa njia bora
zaidi.Unaweza Pekua na kupakua nakala hii,ni rahisi kuchapisha mbele na nyuma kwa faili. Muhimu:Kwa ukubwa sahihi tunashauri chapa faili kwa Vistaprint kicha chagua 3.75″x 8.25″ vipeperushi – Premium plus glossy

what is a kickstart?

Play Video

follow us on facebook

Other products you might like

Privacy & refund policy